Jerry santonga
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 645
- 562
Habari wakuu
Leo nilitembelea kwa mjomba wangu
Aisee sasa nilimsubiri kwa kitambo kweli akawa amerudi akamtuma mwanae mkubwa tu wakati anavua viatu na kumwambia ''niletee kandambili zangu"
mwanae akamjibu ''kanambili zako amevaa mama ameenda dukani''
sasa nikamuliza mjomba
Hivi ni kanambili au kandambili
Akaniambia yote majibu ili aue mjadala
Hivyo nikasema siwezi kulala mpaka nijue je ni lipi jina sahihi ya hayo mandala au malapa hahahaha
Nawasilisha wataalam