Hivi ni KANDAMBILI AU KANAMBILI

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
645
Reaction score
562
Habari wakuu
Leo nilitembelea kwa mjomba wangu
Aisee sasa nilimsubiri kwa kitambo kweli akawa amerudi akamtuma mwanae mkubwa tu wakati anavua viatu na kumwambia ''niletee kandambili zangu"
mwanae akamjibu ''kanambili zako amevaa mama ameenda dukani''
sasa nikamuliza mjomba
Hivi ni kanambili au kandambili
Akaniambia yote majibu ili aue mjadala
Hivyo nikasema siwezi kulala mpaka nijue je ni lipi jina sahihi ya hayo mandala au malapa hahahaha
Nawasilisha wataalam
 
KANDAMBILI MALAPA NDALA YOTE SAWA MI NAONA..HIYO KANAMBILI MMMH
 
Sasa kama mjomba ako na wanae kiswahili ni shida, kwann unajiuliza mara mbili mbili..?? Kwani wamekulia mazingira gani..?? Wana elimu kiasi gani..???

Kuna maswali mengine huna haja ya kujiuliza depending on the level of education na mazingira wanayoishi watu.

In short, WEWE AMINI UNAVYOAMINI..!!! Au na wewe hujui mkuu..???
 
 
 
Kandambili - nadhani imetokana na uwepo wa mikanda miwili inayoishikilia sehemu ya katikati ya unyayo na kuja kuungana kwa mbele mahali utakapoweka katikati ya vidole
 
Kandambili,,yaani icho ni kiatu kinakua na mikanda miwili inayokutana mbele...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…