Hivi ni Kili Marathon au Pombe marathon?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Jana usiku katika pitapita zangu bar zote za Moshi zilikuwa zimefurika ilivyo kawaida. Nikaambiwa wengi wao ni wageni wamekuja kwenye mbio za kila mwaka maarufu kama Kilimanjaro Marathon.

Sasa cha kushangaza, hadi mida ya wanga wakimbiaji hao waliendelea kutwanga maji, monde, pombe nk. Nikajiuliza hyo alfajiri wataweza kweli kukimbia?

Au hizi mbio ni za kujifurahisha tu? Wenyeji na wenye uzoefu njooni mtujuze...
 
IMG_20190303_085300.jpg
 
Baraza linetengewa bajeti maalum.... Resouces zipo, washiriki wapo...!!! Tufurahishane....
 
Huu wengine ni wivu wa kike... Kwani wanatumia pesa yako? Hili n tamasha na sio lazima kila mtu akimbie
Jana usiku katika pitapita zangu bar zote za Moshi zilikuwa zimefurika ilivyo kawaida. Nikaambiwa wengi wao ni wageni wamekuja kwenye mbio za kila mwaka maarufu kama Kilimanjaro Marathon.

Sasa cha kushangaza, hadi mida ya wanga wakimbiaji hao waliendelea kutwanga maji, monde, pombe nk. Nikajiuliza hyo alfajiri wataweza kweli kukimbia?

Au hizi mbio ni za kujifurahisha tu? Wenyeji na wenye uzoefu njooni mtujuze...
 
Awali hizo mbio zilikuwa zinadhaminiwa na Pepsi.
 
Ngoja niingie Hugos nikatafute mchuchu wa kulala naye
 
Back
Top Bottom