Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Jana usiku katika pitapita zangu bar zote za Moshi zilikuwa zimefurika ilivyo kawaida. Nikaambiwa wengi wao ni wageni wamekuja kwenye mbio za kila mwaka maarufu kama Kilimanjaro Marathon.
Sasa cha kushangaza, hadi mida ya wanga wakimbiaji hao waliendelea kutwanga maji, monde, pombe nk. Nikajiuliza hyo alfajiri wataweza kweli kukimbia?
Au hizi mbio ni za kujifurahisha tu? Wenyeji na wenye uzoefu njooni mtujuze...
ImooWashiriki hao wa hizo mbio! Wengine Ni Kama kujifurahisha,wapo waliokwenda "kuuza" si unajua wageni wengi,wapo ambao lengo lao Ni ushindi hao huwezi kuwakuta barView attachment 1037534
Sent using Jamii Forums mobile app