Hivi ni kipi bora!?

Chabo

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
1,093
Reaction score
1,154
Habarini nyote.
Naomba ufafanuzi juu ya madirisha ya alumminium.nasikia kuna ya kichina(feki) na ya dubai(mazuri).maana nimepeleka oda yangu pale kwa wachina wa good one nimewauliza hawa mafundi wa mtaani wanasema sio mazuri(yanapauka baadae).kama kuna ambaye amewahi kufanyiwa kazi na hao good one naomba ufafanuza tafadhali.
Ahsanten
 
Mbona kimya jamani.niko serios
 
nenda gerezani pale uliza jamaa anaitwa kibolibo .... Ni mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…