Hivi ni Kosa kisheria kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti under 18 aliyezaa tayari?

Hivi ni Kosa kisheria kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti under 18 aliyezaa tayari?

Rukaka2020

Senior Member
Joined
Jun 20, 2020
Posts
137
Reaction score
638
Ndugu wadau naomba kujua ikiwa unafanya mapenzi na binti aliye chini ya umri wa miaka 18 kwa hiyari yake na tayari alishazaa huko nyuma kuwa ni kosa kisheria au La, na kama ni kosa adhabu ni ipi?
 
Sheria imesemaje kwani mkuu? Kwani iliongeza kifungu kidogo kuweka exceptional akiwa ana, mtoto
 
hata kama ana watoto saba ikithibitika kuwa ana miaka 18 kwenda chini, miaka 30 jela inakuhusu. Vilevile kwa watoto wa kiume under 18 dhidi ya wadada wanaochipukia wanawatumia sana bila malipo! sheria inawahusu
 
Ni mtoto.. japo naona serikali ingeshusha mabinti wahessbiwe watoto kuanzia 15 kushuka chini kwa sababu hawa wa 17 na 18 wengi wana experience zaidi ya wamama wenye miaka 40
Ndugu wadau naomba kujua ikiwa unafanya mapenzi na binti aliye chini ya umri wa miaka 18 kwa hiyari yake na tayari alishazaa huko nyuma kuwa ni kosa kisheria au La, na kama ni kosa adhabu ni ipi?
 
Hebu jaribu tuone kama ni kosa ama si kosa!

Miswada ya sheria na sheria mbalimbali zinapochapishwa for public scrutiny, ninyi huwa mko bize na shigongo na hadithi za ngono.

Break the law and see it's practical side!

Ni hivyo tu!
 
Back
Top Bottom