Hivi ni kwa Nini asilimia kubwa ya watu wanashindwa kutamka neno " Statistics"??

Hivi ni kwa Nini asilimia kubwa ya watu wanashindwa kutamka neno " Statistics"??

Chezamomo

Senior Member
Joined
May 25, 2019
Posts
112
Reaction score
107
Wanajamvi naomba mnisaidie hata Mimi mwenyewe linanipa shida kulitamka.
 
Kwanza: sema "Takwimu". Maana unauliza swali lako kwa Kiswahili, kjwa hiyo tumia Kiswahili.

Menginevyo, ukijisikia kuna ubora wowote kujipamba na maneno ya Kiingereza
1) acha kama hujui kuitamka
2) au tenganisha neno kwa silabi zake: sta - tis- tiks halafu tamka moja-moja
 
Jaribu kuanza kidogo kidogo, tamka tamka sana neno chipsi na pepsi ukiweza basi hilo halitakupa shida
 
Wee hujakutana na "wani weya prokodishoni"

au hili "entrepreneurship"
 
Pole lakin hyo inatokana na kujifunza lugha ukubwani au mother language yako imeathiri na mna ya wewe kujifunza second languaje
 
Back
Top Bottom