Hivi ni kwa nini wanaume tu hutwishwa zigo la "foreplay" na "afterplay"

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Nimeulizwa swali hilo mwanadada mmoja na nilipigwa na butwaa yaani sikuwa na jibu.

Hivi kweli nisaidieni kumjibu ni kwa nini "foreplay" na "afterplay" ni jukumu la dume na jike si sana?

Kuuliza si ujinga.............................
 
Hujaeleweka! mi nijuavyo fore play ni ya wote wawili. si nitakuwa gogo.
 
Ukweli ndio huo. Mwanamke hujitupa tu kitandani akingojea uanze kumtomasa hadi nyege zimpande. Wanajituma kwa kiasi kidogo sana
 
wengi hawajitumi sijui tatizo ni nini! Lakini kuna wengine inasemekana ni wataalamu ajabu, mfano makabila ya pwani na wale wa kusini wamakonde et. al eti ni wataalamu sijui kuna ukweli gani wataalamu watatueleza zaidi.
 
its because nobody can do it better
 
Tunakuwa tunaliana mingo kama madereva wa daladala na trafiki tunasubiri nani amuanze mwenzake like the way Acid said its because nobody can do it better
 
kachukueni wazaramu ndio mtajua kuwa ngo.no si kitendo ni mapambano
 
mmh jaman!!!!!
izi mambo hazina formula jaman...kila mtu na kaujuz kake..et sjui wachaga ni wav....sjui wangoni wanajua kuka.....sjui wapopgoro watundu...haa hapana ni kila mtu na katalent kake....cz ktk hayo makabila si wote wanajua na si wote hawajui...!!!!!
mi ninavyojua akina CHACHAMWITA NDO WANAJUA SANA IZO FORE NA AFTER PLAY CZ WAO B4 GAME ANAKUSHINDILIA NGUMI KM 10 IVI ZA USO N AFTA GAME ANAKUNYUKA TENA ZA SHNGO UKITOKA APO ahhhhhhhhhh mweupeeeeeeeeeeee.......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
sasa Rose mbona umamua kunitukania kabila la nyumbani hadharani hivi????Anyway, karibu chai!kama kawaida kiporo ukipendacho cha wali wa nazi na kisamvu!
 
hahahah!ha! sjakutukana bwana ni kaukweli tu...kwan unafikiri wakat anakudunda wkt uo unaskia maumivu?ahh walaaaaaaa we waskia raha tu...!!
leo mihogo ya kukaanga bwana na chachandu kidogo na kijipeps pemben nnhaaaaa kwa raha zangu SNA DENI SNA MALI SO MIMI SIYO MASKIN...hahahahh!!!!!!!
 
vipi umeshawahi kuwa na BF kutoka pande hiyo nini?inaonyesha unajua falsafa yao vizuri!!!!!!!
 
ha!ha!ha! sjawai lakin simulizi za vtabuni znasema ivo..nimewai kuwa na bfrend toka somalia,pakistan,iraq,russia na nipo mbion kumsajili wa baghdad..hp nimejbu swali vyema..
 
safi sana, hapo bado wa Vietnam kumalizia cycle!!!!!!
 
Naona unatamani Fore ya kucheza na kitu ya .22 caliber
is ma dream!!!!
i wl b hapy if i wl get even 24 caliber!!!
namba dsnt mata wat mataz here km napata wa swaga izo ...ama lahh kwa sababu zangu maalum!!!!
na km adolf hitla,mussolin angekuwa hai bas ahh mpango kamili ningekuwa sofia wa pili!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom