Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapendwa wana jamii wenzangu, ktk utafiti wangu usio rasmi, nimeona kuwa kiujumla wanawake hawapendani, wanaoneana wivu usio wa lazima, wanatumia muda mwingi kudidimizana, hawatakiani yaliyo mema, hivi hii ni kwa nini? What is not right?
Tunaomba udhibitisho wakuonyesha wanawake hawapendani. Mimi ninavyojua karibia wanadamu wote hawapendani hasa wanapoingiliana kwenye maswala nyeti interest