Hivi ni kwa nini wanawake wengi wanaacha nguo za ndani wazi (why are they exposing th

Hivi ni kwa nini wanawake wengi wanaacha nguo za ndani wazi (why are they exposing th

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Hivi ni kwa nini wanawake WAKITEMBEA BARABARANI utakuta chupi zao zinaonekana yaani wanavaa KK. NA HII IMEKUWA KAMA DESTURI HASA MAENEO YA MUJINI . HIVI NI KWA NINI?
 
kwa sababu......
biashara ni matangazo
 
Hivi ni kwa nini wanawake WAKITEMBEA BARABARANI utakuta chupi zao zinaonekana yaani wanavaa KK. NA HII IMEKUWA KAMA DESTURI HASA MAENEO YA MUJINI . HIVI NI KWA NINI?

ili kuwapunguzia baadhi ya watu misongo
 
Hivi ni kwa nini wanawake WAKITEMBEA BARABARANI utakuta chupi zao zinaonekana yaani wanavaa KK. NA HII IMEKUWA KAMA DESTURI HASA MAENEO YA MUJINI . HIVI NI KWA NINI?

ni mtindo (fasheni) tu mkuu, haina tatizo. kumbuka hata chupi ni nguo,

pia kuna faida zake. enzi za mwalimu kuona paja au chupi ya mwanamke ilikuwa mpaka uende kutazama mchezo wa netiboli, siku hizi vyote viko njenje barabarani, hivyo utaona kuwa ndio maana michezo ya netiboli haina washabiki kabisa
 
ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa maadili.Kwa kawaida chupi ya mwanamke haipaswi kuonekana.Mbona za wanume hatuzioni? Shame on u wadada.Jiheshimuni!!
 
Wanafuata matakwa ya wanaume, nyie ndo mnaowasifia na kuwapa vichwa, mnawashangilia na kuwafagilia sana. Demu akipita kavaa kistaarabu wala hatasifiwa lkn akipita aliyevaa kk na ku expose thong yake wanaume shangwe sana, mwenye kimini akipita utasikia dah umeona mguu ule wa bia. Kwani uarabuni zile sheria si wanaume waliweka na wanazisimamia, kesho hao hao wakishabikia kk wallahi totoz zote za kiarab zitaamka na kata k na vipedo.
 
Inanikumbusha mwingine aliyesema hivi kwa nini mwanamke avae suruali. Ni vazi tu na wala si kuvunjika kwa maadili. Kuna vazi la ofisini, mtaani nk.

Shukuru kwa kupata hiyo fursa kubwa ya kuangalia mwanamke anapita mtaani na furahia na roho yako kwa kumwona, ni bahati kubwa iliyoje kama akili yako itakupa hata muda wa kuangalia ama tafakari kama amevaa chupi gani. Kuona KK yake na kama utaona imemkaa vizuri sasa ungetaka angalia nini zaidi ya urembo huo. La sivyo kaangalie fisi mbugani Mikumi.
 
ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa maadili.Kwa kawaida chupi ya mwanamke haipaswi kuonekana.Mbona za wanume hatuzioni? Shame on u wadada.Jiheshimuni!!

Nadhani hujaangalia video za Rap Stars au hujakutana na vijana wetu wanaoteremsha suruali mpaka miguuni, ndiyo maana hujaiona chupi ya mwanamme.
 
Ni kutaka kuwachanganya walafi wasio pitwa na vijimambo... Basi dada zetu nanyi vaeni chupi zenye mvuto wa kuonekana maana wengine hata mtu unashinda kuielewa kama ni zile chupi za VIP au ya namna gani..!!!!!
 
Mimi naamini ni huu mtindo wa siku hizi wa vyakula wanavyokula nadhani vina hormons ambazo zinawafanya wasitosheke na mmoja na hivyo kila wakati wanataka kufanya mapenzi, kwani pia siamini kwamba mke wa mtu kwa mfano atavaa nguo na kuacha chupi ikionekana ilhali yuko na mumewe. Siamini hivyo! Ni lazima wanaofanya hivyo kwa asilimia kubwa kama siyo yote ni wapiganaji (searchers).
 
Back
Top Bottom