Bongemzito
Senior Member
- Nov 5, 2010
- 162
- 19
ni pm nikutajie umri wangu.we unataka kujua umri wa akinadada tu,kulikoni?Najiuliza siku zote sipati jibu,imekuwa ni kama desturi kwa hawa wa kina dada wanakuwa c wa kweli katika kutaja umri wao wa ukweli,sasa cjui wanaona aibu....kuna vitu ambavyo confidential lakini hili la umri nalo?...
ndio zao, na mara kadhaa huwa wanashusha umri wao ili kuonekena ni vi-binti
womens always lie about their age, mens always lie about their wage. weka hii kwenye signecha yako ya JF.
men!:nono:
ni pm nikutajie umri wangu.we unataka kujua umri wa akinadada tu,kulikoni?
Najiuliza siku zote sipati jibu,imekuwa ni kama desturi kwa hawa wa kina dada wanakuwa c wa kweli katika kutaja umri wao wa ukweli,sasa cjui wanaona aibu....kuna vitu ambavyo confidential lakini hili la umri nalo?...
sasa si shida sana kuishi maisha ya uongo?unabisha? mimi linapokuja suala la salari yangu nakuwa msanii kuliko kikwete. na hako kamsemo nimekafanyia research kabisa kana ukweli flani.
sasa si shida sana kuishi maisha ya uongo?
mm nikipmpenda mtu hata kama anapokea elfu hamsini kwa mwezi sio tatizo.
unabisha? mimi linapokuja suala la salari yangu nakuwa msanii kuliko kikwete. na hako kamsemo nimekafanyia research kabisa kana ukweli flani.
unabisha? mimi linapokuja suala la salari yangu nakuwa msanii kuliko kikwete. na hako kamsemo nimekafanyia research kabisa kana ukweli flani.
Sipendi kudanganywa na mimi sidanganyi