Lakin mkuu unaposema thamani huwezi kulinganisha uzuri wa mbao na chumaSababu nyingine ni bidhaa za vyuma kama mbadala wa mbao ambazo ni imara kuliko mbao na current fashion mfano vitanda vya chuma, milango, madisha ya dril na vioo, meza za vioo and so on
Kama wasingekua wanapeleka magogo nje miti ya mbao haiwezi kuisha kwa wepesi hivyoKwanza kabisa na la muhimu ni Uhifadhi wa Mazingira.
Pili ni bei zisizo na uhalisia na tamaa za mafundi ndio zimepelekea watu kuhamia kwenye samani mbadala wa mbao.
"Wasingekuwa" kina nani hao!?Kama wasingekua wanapeleka magogo nje miti ya mbao haiwezi kuisha kwa wepesi hivyo
Wakuu heshima kwenu.
Nakumbuka 2005 kurudi nyuma feniture itokanayo na mbao ilikua ikihitajika kwa wingi na jamii.
Tofauti na siku hizi seramala amekua na thamani ndogo sana.
Hata vyuo vya ufundi fani ya seremala haina vijana kabisa.
Nini kimeikumba sekta hii ya mbao?
Wako wapi wateja wa makochi, vitanda, meza, milango, fremu, shata, meza za ofisi na viti vyake, na za chakula, kabati za nguo na za vyombo, shelvu nk?
Basi ww weka mbao.....is a qn of choiceLakin mkuu unaposema thamani huwezi kulinganisha uzuri wa mbao na chuma
Old school kwa sababu hauafford au?Sahivi ni steel, aluminium, glass na fibre materials ndio zinatrend bila kusahau pvc. Hayo ma mbao ni old school na very expensive
Hahitaji shule kuona kwamba mbao sikuhizi haitumiki kokote zaidi ya kupaulia nyumba tu ikifuatiwa na mirunda na milingoti!Kwa hio turudi shule mkuu
Ishu si ku afford tu, hivi kuna mtu anaweka TNG badala ya Gypsum kama cieling kwa sasa?Old school kwa sababu hauafford au?
Vyote ni bei chini hivyoIshu si ku afford tu, hivi kuna mtu anaweka TNG badala ya Gypsum kama cieling kwa sasa?
Ni wangapi leo hii wanaweka madirisha ya mbao nondo na wavu wakaacha kuweka grills za chuma na alluminium & glass ama PVC windows!
Na saingine gharama huwa juu kuliko hata mbao ambayo ni style ya kizamani.