Nafikiri kwa kifupi tu.
Naambiwa akina dada miili yao ni sensitive yaani ukimgusa mdada hasa sehemu fulani za maungio ni rahisi kupandwa na ashki..
SASA SWALI LA KUJIULIZA...
Hivi ni kwanini akina dada wanapenda kuvaa nguo laini hasa wanapokuwa kwenye maeneo yenye zero distance?
NOTE:
No intention of offending anyone..