February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
India!
Nilienda Kenya tu hapo, nkagundua maduka mengi watakukaribisha ila swala la kununua hakuna kubembelezana kama ilivyo bongo.
Kibongobongo wateja wamezoea kubembelezwa, nunua basi, kwani una shingapi? Chukua hii basi. Au jaribu basi ile?
Hatujui kuwa trade ni nipe nikupe? Wote mnasaidiana? Wewe una shida na kitu na muuzaji ana shida na hela?
Yani inakuwa kama unamtongoza mteja anunue..na usipofanya hivi hanunui anaenda kununua sehemu atakayotongozwa.
Hii ni kwanini?