February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Dah, kweli kuna shida mahaliWabongo wanapenda dezo..ile kauli ya mteja ni mfalme imeharibu bongo zao.
#MaendeleoHayanaChama
Dah yani nlpofungua biashara ikabidi nijifunze na skill ya kutongozaAcha usitongoze uone bidhaa zitakavyo doda.
Sasa unamkomoa mtu hata hamfahamiani? Umemkuta tu dukaniWabongo tunapenda kukomoana.
Hivi chanzo ni nini? Ni umasikini au ujamaa?Hii ni kweli..yaani mteja anakuja kupata huduma huku akiwa na mentality kuwa wewe mtoa huduma au mfanyabiashara ndio una shida alafu yeye hana shida kwa ufupi anakuja kwa kuonea huruma na sio kuwa na yeye ana uhitaji..huwa nashanga sana
MhhhMi hata sehem nikienda ni mgeni huwa na tabia flan namfata bodaboda namuuliza hapa na sehem flan shingap akinijibu buku mbili namtishia kuondoa nikion Yuko kimya natafuta mwngne namuuliza hivyohivyo akijibu buku mbili namtishia kuondoka naenda kwa mwngne akinitajia bei hiyo hiyo ndo napanda naenda najua kweli Itakua hiyo sehem ni mbali
Maana sisi wabongo tuna tabia ya kupandishiana bei kwenye biashara kutokana na kuangalia muonekano wa mtu hatuna ule uadilifu wa kuweka bei halisi, ila yapo maduka ambayo bidhaa zimeshabandikwa bei hapo huwa hawasikilizi uswahili wako wala kubembeleza
Hii Tabia inakera Sana , mi mwenyewe kazi yangu Kwa mteja ni kumkarbisha na kumweleza bei , na kumjibu anachouliza , kama ana Nia atanunua tuu kama Hana Nia hakuna haja ya kumbembeleza , unaweza mbembeleza achukue kingine ambacho hajapanga alaf akienda kukitumia asiporidhika ndo atakuchafua hata Kwa wateja wengine , kwamba umemuuzia kitu kibovu ....!!India!
Nilienda Kenya tu hapo, nkagundua maduka mengi watakukaribisha ila swala la kununua hakuna kubembelezana kama ilivyo bongo.
Kibongobongo wateja wamezoea kubembelezwa, nunua basi, kwani una shingapi? Chukua hii basi. Au jaribu basi ile?
Hatujui kuwa trade ni nipe nikupe? Wote mnasaidiana? Wewe una shida na kitu na muuzaji ana shida na hela?
Yani inakuwa kama unamtongoza mteja anunue..na usipofanya hivi hanunui anaenda kununua sehemu atakayotongozwa.
Hii ni kwanini?
Biashara za kutegemea uchawiIndia!