Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Hivi kumbe ni kwelii? Haina madhara kweli?Kwasababu wanapikia mafuta ya transfomer.
Unakula chips mitaa ya Tandale na Manzese unatarajia nini!?Tokea nianze kutafuna chips za Dar sijaona utamu wowote kwa kweli. Yaani picha linaanza viazi vimeumuka halafu full mafuta kama vile unatafuna kipochi, havina ladha hata kidogo, viungo navyo vinaandaliwa kiholela holela, labda kidogo mayonaizi
Yaani chips za huku huwezi mdanganyia binti akakuelewa. Rejea chips za mikoa mingine kama Mbeya na Mwanza, kwanza kitu inachomwa unaskia harufu mtaa wa tatu, kitu ikiletwa mezani ikiwa na tomato pamoja na makolomboizo kibao, unaweza ukajikuta unatafuna ulimi
Zile chips ukishikiria mkononi halafu ukutane na toto la mtu, ni chap bin shwaaa, manyoyaaaaaaaa, shhhhhhh shhwaaaaa
Sielewi ni kwanini chips za Dar hazina ladha
Mmh... KFC tena?Unakula chips mitaa ya Tandale na Manzese unatarajia nini!?
Umewahi kwenda restaurant yeyote kubwa hata Kisinia restaurant tu ukala viazi!?
Au nenda KFC au nenda Pizza hut kajaribu viazi vyao.
Ni international testa HUWEZI fananisha na maujinga ya Mbeya.
Unakula chipsi vichochoroni unalalamika chips za Dar mbaya!?
Sio kweli nini mkuu!?Mmh... KFC tena?
Sio kweli.
Usiweke wingi mkuu, Za kwenu huko Ndo hawajui kupikaTokea nianze kutafuna chips za Dar sijaona utamu wowote kwa kweli. Yaani picha linaanza viazi vimeumuka halafu full mafuta kama vile unatafuna kipochi, havina ladha hata kidogo, viungo navyo vinaandaliwa kiholela holela, labda kidogo mayonaizi
Yaani chips za huku huwezi mdanganyia binti akakuelewa. Rejea chips za mikoa mingine kama Mbeya na Mwanza, kwanza kitu inachomwa unaskia harufu mtaa wa tatu, kitu ikiletwa mezani ikiwa na tomato pamoja na makolomboizo kibao, unaweza ukajikuta unatafuna ulimi
Zile chips ukishikiria mkononi halafu ukutane na toto la mtu, ni chap bin shwaaa, manyoyaaaaaaaa, shhhhhhh shhwaaaaa
Sielewi ni kwanini chips za Dar hazina ladha
Kumbe chipsi nazo ni silaha yakumpata Binti!
Yani Binti anakukubali kisa viazi?
Kuna viazi vya kulishia nguruwe vinaletwaga dar ...serikali pumbavu ya samia inaangalia tu wananchi wanauziwa viazi vya kulishia mifugoTokea nianze kutafuna chips za Dar sijaona utamu wowote kwa kweli. Yaani picha linaanza viazi vimeumuka halafu full mafuta kama vile unatafuna kipochi, havina ladha hata kidogo, viungo navyo vinaandaliwa kiholela holela, labda kidogo mayonaizi
Yaani chips za huku huwezi mdanganyia binti akakuelewa. Rejea chips za mikoa mingine kama Mbeya na Mwanza, kwanza kitu inachomwa unaskia harufu mtaa wa tatu, kitu ikiletwa mezani ikiwa na tomato pamoja na makolomboizo kibao, unaweza ukajikuta unatafuna ulimi
Zile chips ukishikiria mkononi halafu ukutane na toto la mtu, ni chap bin shwaaa, manyoyaaaaaaaa, shhhhhhh shhwaaaaa
Sielewi ni kwanini chips za Dar hazina ladha
Si kweli ,nenda kale American Chips uone test yake ,nenda kale chips za msasani bonde la mpunga uone test zake...Chips anapika msukuma ,mhehe au mnyakyusa utegemee kuwa nzuri? Wapishi wa Chips nzuri ni wazanzibar.Tokea nianze kutafuna chips za Dar sijaona utamu wowote kwa kweli. Yaani picha linaanza viazi vimeumuka halafu full mafuta kama vile unatafuna kipochi, havina ladha hata kidogo, viungo navyo vinaandaliwa kiholela holela, labda kidogo mayonaizi
Yaani chips za huku huwezi mdanganyia binti akakuelewa. Rejea chips za mikoa mingine kama Mbeya na Mwanza, kwanza kitu inachomwa unaskia harufu mtaa wa tatu, kitu ikiletwa mezani ikiwa na tomato pamoja na makolomboizo kibao, unaweza ukajikuta unatafuna ulimi
Zile chips ukishikiria mkononi halafu ukutane na toto la mtu, ni chap bin shwaaa, manyoyaaaaaaaa, shhhhhhh shhwaaaaa
Sielewi ni kwanini chips za Dar hazina ladha
😳😳🤣🤣🤣🤣Kuna viazi vya kulishia nguruwe vinaletwaga dar ...serikali pumbavu ya samia inaangalia tu wananchi wanauziwa viazi vya kulishia mifugo