Hivi ni Kwanini Dstv wamejaza matangazo kwenye channels zote wakati tunalipia vifurushi?

Hivi ni Kwanini Dstv wamejaza matangazo kwenye channels zote wakati tunalipia vifurushi?

DidYouKnow

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2019
Posts
1,229
Reaction score
1,950
Huwa najiuliza sana, ni kwa nini DStv wanajaza sana matangazo kwenye channels zake zote, wakati kila mwezi tunalipia vifurushi vyao? \

Au tunalipia ili tuangalie matangazo?
 
DStv majanga ondoka huko. Matangazo ya sportpesa na naijashit muda wote utafikiri channel ni free to air?
 
Hawa dstv ni kuwahama tu,mm nina king'amuzi nimekizima mwaka unaisha sasa,ilifikia kipindi wakawa wananipigia simu kunijulisha offer walizonazo nikawambia poa nitalipia.Lakini ukweli hawa dstv ni shida,sijui wanafikiri huduma wanayotoa labda wateja wanafurahi.
Hao ni kuwahama tu.
Nimeshangaa kuona matangazo ya dstv yakirushwa channel ten na star tv nikajisemea kweli kuna mbulula.Hao channel ten na star tv hata hawapo dstv,sasa kunichoresha kwa nn huko.
DStv majanga ondoka huko. Matangazo ya sportpesa na naijashit muda wote utafikiri channel ni free to air?
 
Back
Top Bottom