Hivi ni kwanini Eminem anajiita "Shady"?

Shadrack K. Lwila

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
4,925
Reaction score
14,287
Wakuu habar,

Kama kichwa cha habar kinavyoeleza,huyu jamaa amekuwa akitaka kwa nguvu ulimwengu ujue kuwa yeye ni SHADY,

Swali langu ni je..? jamaa anataka kutufahamisha kuwa amekuja kivingine katika mziki au ana maana gani

UPDATE
jamaa katoa truck inaitwa "I'm shady" truck hiyo imo ndani ya ulbum ya "I'm slim shady"

Katika wimbo wa "im shady" jamaa kafoka kweli kweli na kujitapa hapa na pale anasema "solid billions of tape but you still screamed,f*** the world" maneno hayo yapo kwenye wimbo huo

Wajuzi karibuni,pia mashabiki wa h.i.p h.op karibuni saana

wasilisha

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…