Imekuwa ni mara kadhaa imesikika eneo la UVINZA limekuwa likitajwa sana na makundi kadhaa ya watu hasa vijana mara utasikia "jana nilizama uvinza" au "hata iweje mimi siwezi kwenda uvinza" sasa wana jf naomba nijuzwe huko UVINZA imekuwaje kunatajwa sana, je kuna bwawa kubwa sana linalopenndwa sana na vijana?