S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Sep 12, 2012 #1 Jamani mimi huwa naamini si watu wote wanaostahili kupata mikopo hufika chuoni.Sasa kwa wale ambao huwa hawafiki hela zao huwa zinakwenda wapi?
Jamani mimi huwa naamini si watu wote wanaostahili kupata mikopo hufika chuoni.Sasa kwa wale ambao huwa hawafiki hela zao huwa zinakwenda wapi?
T Tito Msindo Member Joined Aug 16, 2012 Posts 12 Reaction score 0 Sep 13, 2012 #2 hela zao huwa zinarudihwa bodi ya mkopo ndo mana ile hela huwa inapitia kwenye akaunti ya chuo then chuo kinaingiza kwenye akaunti ya mwanafunzi ambaye karipoti
hela zao huwa zinarudihwa bodi ya mkopo ndo mana ile hela huwa inapitia kwenye akaunti ya chuo then chuo kinaingiza kwenye akaunti ya mwanafunzi ambaye karipoti