Hivi ni kwanini kila msanii anayefanya Collabo na Diamond hupotea kwenye game mazima?

Dai akafungue goli la uganga South kama mume mwenza Ivan atapiga pesa ndefuu
 
Daah ile zana ya kusema kati ya watanzania wa nne basi moja kichaa.. naona inazidi jizirisha, mkuu kawai dozi yako tu
 
Omba radhi no 11 unamshushia heshima ney wa mitego
 
Kuna msanii mmoja alifanya collabo na domo akafa kabisaaa afadhali hao wapo hai wanaendeleza harakati
 
Nongwa hizi

Mshabiki nisiyefungamana upande wowote..
 
Akhothee amepata Tunzo wiki hii ya best female pamoja na Harmonize AFRIMMA AWARDS
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

We kweli hujielewi..eti p square wamebakia jina tu..hii mada em peleka teamplutnumz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…