Hivi ni kwanini kila msanii anayefanya Collabo na Diamond hupotea kwenye game mazima?

mfano mzuri wa mtu aliyechoka kufikiri
 
jiulize Salome inamuda gani na ishachuja lakini kidato kimoja bado IPO kwenye hit
 
the only most valuable an biggest think africa are not afraidbto lose is their time. how dare u spend ur time writing nonsense like this? aisee we still far ti catch up industries if the employees will be like tge thread writer.
 
Mtoa uzi hujui wala hufatilii music..davido katoa nyimbo mpya last but least kabla ya aliyomshirikisha tinashe..io nyimbo inatesa anga za majuu na ndio namba downloads chart Africa..
 
Kuna kaukweli kwa mbaaaali. Ila sehemu nyingine naona kama umechapia
 
hahahahha...kumbe ni wewe mchawi mwenza wa kiba....hakuna kipya
 
Wewe jamaa ni 1:4,,,,,,wengi hapo ulowataja kushuka kimziki sio kweli ila tu hufatilii vzuri kujua. Mfano mdogo ni kwa linex, amekua na ngoma kadhaa baada ya collabo na mond kama vile "kwahela" ambayo huwez kusema nyimbo mbaya hata kidogo
 
Brother hauko serious,,,,ally kiba hakuimba kwenye leka lutigite
 

Kashaelew huyoooo
 
Mbona unasema collabo yake na ommy dmpozi na dully napo ommy alipotea na dully au?? Wabongo lowasa alisema mchagueni
Ili kila mtu apate ELIMU ELIMU ELIMU tuondokane na mawazo potofu km aya
 
Chai ya rangi.
 
Wewe una chuki binafsi huna lolote [emoji57] [emoji57]
 
Hakuna mtu hatari kama mond. Anatembea na nyota za watu pia nichuma ulete wa vipaji wa yong star. Dira yake kuwa lileleni mpaka mwisho. Japo God kashasema No.....
 
Anakuwa keshapata mshiko mrefu wa kuendesha maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…