Yaani uki Google ligi za ulaya utaona live updates inaonesha ni dakika ya ngapi na goli ni ngapi kwa ngapi, hata line-up za vikosi, ila uki Google Tanzania premier league unakuta inaonesha tu timu zitakazocheza na muda tu basi, yaani kama ni Mashujaa Vs KMC 1600 itabaki hivyohivyo hata mechi ikiisha itabaki hivyohivyo na si ajabu ikakaa hivyo hata siku mbili.
Katika sehemu TFF wamefeli ni pamoja na hili . Yaaani tupo Kijima sana na kishamba. Too local
Katika sehemu TFF wamefeli ni pamoja na hili . Yaaani tupo Kijima sana na kishamba. Too local