Kwenye Sofascore wana live updates. Hata ratiba ya siku ya kesho yake wanaweka.Yaani uki Google ligi za ulaya utaona live updates inaonesha ni dakika ya ngapi na goli ni ngapi kwa ngapi, hata line-up za vikosi, ila uki Google Tanzania premier league unakuta inaonesha tu timu zitakazocheza na muda tu basi, yaani kama ni Mashujaa Vs KMC 1600 itabaki hivyohivyo hata mechi ikiisha itabaki hivyohivyo na si ajabu ikakaa hivyo hata siku mbili.
Katika sehemu TFF wamefeli ni pamoja na hili . Yaaani tupo Kijima sana na kishamba. Too local
Inawezekana kweli ni mashariti ya mdhamini. Ila kweli sisi bado sanaUlaya kote huko.
Ligi ya Misri tu ipo active kwenye Google.
Huku kwetu kuna ushamba mwingi ukifuatilia nini sababu inaweza kukushangaza.
Usikute sababu ni mdhamini wa matangazo ndio aliyeweka pingamizi akitaka kuwa watu wote wapate updates kupitia vyombo vyake.
Mbona ffotmob zipoUlaya kote huko.
Ligi ya Misri tu ipo active kwenye Google.
Huku kwetu kuna ushamba mwingi ukifuatilia nini sababu inaweza kukushangaza.
Usikute sababu ni mdhamini wa matangazo ndio aliyeweka pingamizi akitaka kuwa watu wote wapate updates kupitia vyombo vyake.
Mbona mimi huwa naona jamaniYaani uki Google ligi za ulaya utaona live updates inaonesha ni dakika ya ngapi na goli ni ngapi kwa ngapi, hata line-up za vikosi, ila uki Google Tanzania premier league unakuta inaonesha tu timu zitakazocheza na muda tu basi, yaani kama ni Mashujaa Vs KMC 1600 itabaki hivyohivyo hata mechi ikiisha itabaki hivyohivyo na si ajabu ikakaa hivyo hata siku mbili.
Katika sehemu TFF wamefeli ni pamoja na hili . Yaaani tupo Kijima sana na kishamba. Too local
Download sofascore liveupdate utaona ligi na mashindano ya michezo yote dunia nzima.Yaani uki Google ligi za ulaya utaona live updates inaonesha ni dakika ya ngapi na goli ni ngapi kwa ngapi, hata line-up za vikosi, ila uki Google Tanzania premier league unakuta inaonesha tu timu zitakazocheza na muda tu basi, yaani kama ni Mashujaa Vs KMC 1600 itabaki hivyohivyo hata mechi ikiisha itabaki hivyohivyo na si ajabu ikakaa hivyo hata siku mbili.
Katika sehemu TFF wamefeli ni pamoja na hili . Yaaani tupo Kijima sana na kishamba. Too local
Mkuu ata wafungaji hamnaKweli kbsa mkuu hata line up tu hamna labda uangalie insta kwenye page ya club husika
Yaani uki Google ligi za ulaya utaona live updates inaonesha ni dakika ya ngapi na goli ni ngapi kwa ngapi, hata line-up za vikosi, ila uki Google Tanzania premier league unakuta inaonesha tu timu zitakazocheza na muda tu basi, yaani kama ni Mashujaa Vs KMC 1600 itabaki hivyohivyo hata mechi ikiisha itabaki hivyohivyo na si ajabu ikakaa hivyo hata siku mbili.
Katika sehemu TFF wamefeli ni pamoja na hili . Yaaani tupo Kijima sana na kishamba. Too local
Usilaumu kabla haujajibiwa. Hapa kuna mechi ipo Live inaendelea:Yaani uki Google ligi za ulaya utaona live updates inaonesha ni dakika ya ngapi na goli ni ngapi kwa ngapi, hata line-up za vikosi, ila uki Google Tanzania premier league unakuta inaonesha tu timu zitakazocheza na muda tu basi, yaani kama ni Mashujaa Vs KMC 1600 itabaki hivyohivyo hata mechi ikiisha itabaki hivyohivyo na si ajabu ikakaa hivyo hata siku mbili.
Katika sehemu TFF wamefeli ni pamoja na hili . Yaaani tupo Kijima sana na kishamba. Too local
Safi sana. Ila ninaamini ni baada ya kuwakosoa
Hapana mkuu. Livescore ipo muda mrefu tu kwenye ligi yetu, maafisa ubashiri huwa tunaitumia sana kuchungulia matokeo. Hebu angalia mechi hii ya mwaka 2016Safi sana. Ila ninaamini ni baada ya kuwakosoa