Hivi ni kwanini mabinti wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Nimekaa nimetafakari hapa,nikaona ebu ngoja niwaulize wana MMU!

Hivi ni kwanini wanawake wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

Maana hali ndo ilivyo jamaa wa vyuo vingine wanachezea vibuti mpaka aibu yani.
 
umejuaje na wenzako wanapendwa???????
umejuaje wengine wanachezea vibuti????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…