Hivi ni kwanini mabinti wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

nimegundua wengi mnaonishambulia hamkubahatika kusoma mlimani,kwa hiyo kwenye hii thread ndo mmepata pa kutolea hasira zenu za kupakosa.
 
Akili zingine hizi,,,hivi unapotongoza huwa unaulizwa umesoma wapi?
 
nimegundua wengi mnaonishambulia hamkubahatika kusoma mlimani,kwa hiyo kwenye hii thread ndo mmepata pa kutolea hasira zenu za kupakosa.

kama ukisoma Mlimani ndo unakuwa na akili hizi ni afadhali sikusoma huko
 
udsm...ukipendwa na Mwimbili waseme adje..!!?? acha ujinga zinduka usije liwa kichwa mkuu...!!!
 
Kikate hicho kinachokufanya uwe mwanaume halafu uone kama utapendwa kwa sababu unasoma UDSM.
 
Nadhani nami nilipitapita huko mbona hakuna anayenishobokea pamoja na kuwa nilikuwa kiranja. Tunza bumu fara wewe usijesumbua wazazi kisa umedanganywa unapendwa.
 
Acha ujinga hapendwi MTU Siku hizi unadanganywa unadhani unapendwa una nini wewe
 
Nimekaa nimetafakari hapa,nikaona ebu ngoja niwaulize wana MMU!Maana hali ndo ilivyo..jamaa wa vyuo vingine wanachezea vibuti mpaka aibu yani.

duh!
kumbe na mlimani siku hizi wanatoaga products za kipumbavu kama wewe!! AIBU!!!
 
nimegundua wengi mnaonishambulia hamkubahatika kusoma mlimani,kwa hiyo kwenye hii thread ndo mmepata pa kutolea hasira zenu za kupakosa.

Aisee, hiki chuo kina heshima sana!! Ningekushauri ukae kimya maana kwa kuweka huu uzi umekivua nguo na sasa ndo unaamza kukivua na chupi!
UDSM haina vilaza ka wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…