Hivi ni kwanini nchi nyingi zinakuwa identified kwa pronoun "her"?

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Je, ni kwanini? Na ni nchi zote duniani zinawakilishwa na pronoun "her"?
 
Je, ni kwanini? Na ni nchi zote duniani zinawakilishwa na pronoun "her"?
Kwa Wajerumani ni ME sio KE. Fatherland.

Nchi huitwa "HER" kwa sababu ardhi yake imezaa kila kitu tunachohitaji kimaisha. Nchi ni MAMA.

Binadamu, wanyama, mimea yote, na vitu vinginevyo, kama mali ghafi za kutengenezea nyenzo na nishati, hutoka ardhini.
 
Je, ni kwanini? Na ni nchi zote duniani zinawakilishwa na pronoun "her"?
Brother only women can be beautiful, so nchi zimepambwa na mito, milima, mabonde, misitu na majangwa hivyo vyote kwa pamoja vinatengeneza ile beautyness hivyo basi kutokana na hilo nchi ni her because of its beautiness.
 
Ni tatizo la lugha ya kiingereza.....siku hizi wengi wanatumia its badala ya her
 
Oh asante umenifungua akili. Je,mbona Ujerumani iwe tofauti
 
Brother only women can be beautiful, so nchi zimepambwa na mito, milima, mabonde, misitu na majangwa hivyo vyote kwa pamoja vinatengeneza ile beautyness hivyo basi kutokana na hilo nchi ni her because of its beautiness.
Okay
 
Ninavyojua ni kutokana na nchi kutoa malazi na kuwalea watu wake ndiyo sababu inakua referred as her.

Kuhusu Ujerumani enzi za o level tuliaminishana kua kitendo cha Ujerumani kuiteka dunia kwa muda nadhani siku tatu ndiyo kilifanya isiwe referred as her.
Nikataka kuprove hiyo theory ila sikupata supporting documents kokote.
 
Brother only women can be beautiful, so nchi zimepambwa na mito, milima, mabonde, misitu na majangwa hivyo vyote kwa pamoja vinatengeneza ile beautyness hivyo basi kutokana na hilo nchi ni her because of its beautiness.
Ship pia huitwa she/ her. Sababu za uzuri zinaingia hapo?
 
Ahaa asante Mkuu ngoja nizidi kufuatilia
 
Nchi zote ambazo ni nchi developing coutry hutumia 'her'
 
Nchi ina uwezo wa kubeba uhai, inakuwa na wananchi, na wanazaliana na kuongezeka. Uwezo huo ndiyo unaifanya itambulike kwa "her".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…