Najua haya si unayotaka kuskia, lakini huu ndio ukweli.
Wakati ule tu Magufuli ana 'trend' Kenya ni anapofanya kitendo cha ujinga.
Dalili ya wivu na roho mbaya.kwa hiyo kenyans are more interested in meaningless issues than meaningful issues si ndio.
Kwani mleta mada alikua anamuongelea Rais wa masauti au Rais Magufuli?
Link zote nilizoweka humu ni za gazeti moja tu Kenya makusudi kabisa ili muone namna mnavyofatilia habari za Magufuli, hapo sijaweka habari za Tanzania in general wala sijaweka link za magazeti mengine na accounts nyingine za watu TV, radios mkubali tu ukweli kwamba Kenya inafuatilia sana habari za Tanzania sio burudani tu mpaka siasa.
Ukiachana na hayo, wananchi wakenya wanamshinikiza Uhuru amuige JPM kwa nguvu zoteJapo pia rais wenu matamko yake hehehe kuna wakati inabidi asiklizwe, juzi niliona sehemu anasema eti huwa anadukua simu za mawaziri wake, ama kwa kweli rais aseme kitu kama hicho halafu akose kufuatiliwa.
Insults ni defense mechanism for weak, insecure and immature people, Wanaume strong huwa hawatukani wengine, so grow up man!
Japo pia rais wenu matamko yake hehehe kuna wakati inabidi asiklizwe, juzi niliona sehemu anasema eti huwa anadukua simu za mawaziri wake, ama kwa kweli rais aseme kitu kama hicho halafu akose kufuatiliwa.
Hii ni dalili kwamba hapa mtandaoni wwe ni mgeni![emoji6][emoji6] Unataka kusema anayefuatilia Mjadala wetu hapa mtandaoni katudukua!?
Haya ni mawasiliano ya wazi ambayo kila mtu anaweza kuyaona mradi tu awe amesajiliwa kwenye Mtandao husika!! Hili la udukuzi ni lako na chuki zako za kitoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi umesoma nilichoandika au umebwatuka kama ilivyo kawaida yenu, rais wenu mwenyewe alikiri kwamba hudukua mawasiliano ya simu ya mawaziri wake, hakuna aliyetaja mambo ya huku JF.
Hili nalo lina kaukweli fulani, tangu mchome vifaranga na kukamata ng'ombe wetu, vilisababisha uhasama baina yetu kiasi hata Wakenya ambao hawakua wana issue na Tanzania wakajua kweli mumefikisha chuki zenu kwenye kiwango kipya.
kwa hiyo kenyans are more interested in meaningless issues than meaningful issues si ndio?.
Hahahaaa watu wa kenya hawampendi magufuli hadi wanaomba awe rais wao ili nchi iendelee, hawampendi huku wagombea wanajinadi kiwa kama wakishinda irais basi wataongoza kama magufuli. 254 shame on you
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo in denial usihangaike nayeSiyo kweli, hakuna Mkenya mwenye akili timamu asiyewahi kumsikia Magifuli labda kama hasomi magazeti ya Kenya, I mean kila anachofanya Magufuli kinaandikwa Magazeti ya Kenya, mengine hata rafiki yangu huniuliza wakati mimi wala sijasikia bado.
Unaongea maneno ya 3 years ago.
Sasa hivi kila mtu ameshajua Magufuli ni mwenda wazimu.
hujajibu nilichokuuliza.Mad men always attract attention. Sio wakenya pekee.
Japo pia rais wenu matamko yake hehehe kuna wakati inabidi asiklizwe, juzi niliona sehemu anasema eti huwa anadukua simu za mawaziri wake, ama kwa kweli rais aseme kitu kama hicho halafu akose kufuatiliwa.