Hivi ni kwanini Rais Magufuli anafuatiliwa sana nchini Kenya?

BW. Pombe kufuatiliwa Kenya ni kwa sababu...

Nina rafiki huko wakati mwingine hunipa news za Raisi Magufuli ambazo mimi mwenyewe sijazisikia bado, sikumbuki ni lini Raisi wa JMTZ amekuwa gumzo kubwa hivi huko Kenya kama Raisi Magufuli, hivi ni
kwa nini?
Hafuatiliwi ila wanamshaa kumuona Zinjanthropus Afrcanus akiwa hai
 
Nina rafiki huko wakati mwingine hunipa news za Raisi Magufuli ambazo mimi mwenyewe sijazisikia bado, sikumbuki ni lini Raisi wa JMTZ amekuwa gumzo kubwa hivi huko Kenya kama Raisi Magufuli, hivi ni
kwa nini?
Nafikiri umepata jibu sasa kupitia Stephen Suckur wa the Hard Talk; ameongelea mambo mengi positive kuhusu utendaji kazi wa JPM kuliko yule mBongo ambaye alikua anahojiwa siku hiyo...
 
Nafikiri umepata jibu sasa kupitia Stephen Suckur wa the Hard Talk; ameongelea mambo mengi positive kuhusu utendaji kazi wa JPM kuliko yule mBongo ambaye alikua anahojiwa siku hiyo...
You are very useless Bantu Gumboro.
 
Man.ambia hawa wajinga,we dont know anything kuwahusu apart from Magufuli is your president and alichoma kuku zetu hio ndo news tu tuliona,sema tu you wish kenya ingekuwa inawaongelea sasa kama hatuongelei SA kwa news zetu nyi ni nani?but chenye naeza waambia tumewadharau tu hio ndo shida moja yetu yoka kitambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa natumiwa links mara kwa mara, kuhusu tv sijui ila Magazeti haipiti wiki wataandika chochote kuhusu Magufuli, nitakupa mfano juzi kati nilitumiwa kuambiwa Magufuli kamuombea mama yake mgonjwa hospitalini, Wakenya wanajua hilo nilishangaa.
You wish nani anajua hio????we kenyans na hatujui,Tz ni mdomo kwanzia kwa prezzo wenu mpaka nyinyi hapa umama ndo mumejaza,kupika stories za ujinga,mkikunywa chai ya kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man elimisha your brothers we dont watch any Tz news hata kidogo hata kidogo tunajua tu ******** is your president na alichoma kuku zetu hio ndo news yenu ishailetwa kwa Tv zetu,pingili nywee waambie wasee wako ukweli na waachane na joints zina wa mess

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…