Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Hivi ni kwanini serikali inaposema inatangaza ajira huzungumzia zaidi ajira za afya na ualimu.
Inamaana huwa haiwazi kuwa kuna graduates wa fani zingine pia?
Hivi ni kwanini isifuatilie upungufu na kwenye taasisi zingine kisha itangaze ajira kwa pamoja?
Kwanini ajira za graduates wa fani zingine zisitangazwe kwa pamoja na hizo ajira za ualimu na afya ili kuondoa ubaguzi huo?