Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Hivi forestry Ipo kwenye kilimoSekta karbia zote zimetangaza Mzee , Ajira jumla ni 32000, watu wa TRA wameshatangaza , watu wa uhamiaji wameshatangaza , watu wa Afya wameshatangaza 7000 , watu wa elimu 9800, watu wa kilimo 900 Ila bado hawajatangaza , watu wa mifugo 700 Ila bado hawajatangaza .... Karbia sekta zote , Elimu na Afya ni kazi za huduma ambazo zimetapakaa karbia kila Kata na kijiji thus why huwa zinakuwa nyingi na kuongelewa sana