Sasa msiturukishe kichura.Hakuna somo kubwa na siri kubwa jeshini kama UZALENDO. do each and everything for serving your country and countrymen.
Once Patriotism becomes ice in your veins, you will no longer be a corrupt person, you will always put nation's interest first before anything. In short you will self-made a sacrificial person.
Thank you C/O wangu Charles Mbuge na Major Mafunzo Msila, leutenants, captains and other majors and generals including privates at 832KJ. Am now ready for anything for the sake of my nation,Tanzania, The government and others who really in-needs.
Si useme tu unataka ajiraHakuna somo kubwa na siri kubwa jeshini kama UZALENDO. do each and everything for serving your country and countrymen.
Once Patriotism becomes ice in your veins, you will no longer be a corrupt person, you will always put nation's interest first before anything. In short you will self-made a sacrificial person.
Thank you C/O wangu Charles Mbuge na Major Mafunzo Msila, leutenants, captains and other majors and generals including privates at 832KJ. Am now ready for anything for the sake of my nation,Tanzania, The government and others who really in-needs.
[emoji3][emoji3]Pia wanavutia kwa muonekano na Wana sauti nzuri nzito na wanatembea kibabe. Kama haihusiani na mada poa tu.
kweli we ni mjeda uliye iva.salute kwako mkuu.maneno tu yenyewe hapo mwishoni Yana spirit za kuamsha mizuka za kijeshi.ni Kama vile unatoa morale kwa kikosi kiingie mzigoni. [emoji106]Hakuna somo kubwa na siri kubwa jeshini kama UZALENDO. do each and everything for serving your country and countrymen.
Once Patriotism becomes ice in your veins, you will no longer be a corrupt person, you will always put nation's interest first before anything. In short you will self-made a sacrificial person.
Thank you C/O wangu Charles Mbuge na Major Mafunzo Msila, leutenants, captains and other majors and generals including privates at 832KJ. Am now ready for anything for the sake of my nation,Tanzania, The government and others who really in-needs.
Wananifurahishaga wakiwa mipakani polisi wanaweza kukung'ang'ania uwape pesa wanayotaka wao ila JW wanakwambia acha ya sigara uwende zako.Wanajeshi Wana uzalendo na spirit kubwa usiseme.ndio maana likaitwa jeshi mkuu.
Shida ya jeshi ni malengo kuna kambi waliamua kulima ndizi hali ya hewa ikawa hairuhusu. Mkuu wa kikosi akasema lazima lengo litekelezwe kwa njia yotote kuruti na serbice men/women walikua 800 kila mmoja akaambiwa achombe mashimo 4 atafute mbolea popote na anapewa miche apande migomba 4.Nilikuwa natizama taarifa ya habari hapa ITV mwanajeshi mmoja anasema walipewa assignment ya kulima hekari 1300 za mahindi wao wakalima hekari 1500.
Jeshi likipewa mradi let's say uishe ndani ya mwenzi 1 wao watakufanyia ndani ya siku 28, 27 au muda kamili. Daraja ikikataa wao ni dk0 wanalisimamisha, hawali rushwa kama kada zinazowafanania, ni nadra kuwakuta wakivunja sheria yaani ni nadra sana sana kukuta mwanajeshi anakula rushwa.
Wakiwa mtaani wengi ni watu wa kujishusha ila ukimchokoza tu ndio utaelewa maana ya mwanajeshi. Mimi sikufanikiwa kupita mafunzo yoyote ya jeshi mpaka nilipoishia kielimu. Natamani sana kujua kuwa ni mafunzo gani hupewa hasa mpaka wanakuwa na nidhamu na weledi wa juu katika kazi.
Nyie mnafaidi madawiriTunaoumia ni sisi kuruti na Service man. Hao wenye mawe yao mabegani wanakula shumbwela tu na kuagiza.
Mkuu nicheki Pm mimi ni mjeda.Pia wanavutia kwa muonekano na Wana sauti nzuri nzito na wanatembea kibabe. Kama haihusiani na mada poa tu.
Wasikutese....kama haihusiani na mada poa tu.🤣🤣🤣Pia wanavutia kwa muonekano na Wana sauti nzuri nzito na wanatembea kibabe. Kama haihusiani na mada poa tu.
Hiyo nayo ni shida yenu Moja wapo. Kupenda totoz sana.Mkuu nicheki Pm mimi ni mjeda.
Kwa heshima ya Marehemu mzee kipenzi changuMagufuli uko ndani ya mada..duhhh
Hao ni wezi kama wezi wengine,Nilikuwa natizama taarifa ya habari hapa ITV mwanajeshi mmoja anasema walipewa assignment ya kulima hekari 1300 za mahindi wao wakalima hekari 1500.
Jeshi likipewa mradi let's say uishe ndani ya mwenzi 1 wao watakufanyia ndani ya siku 28, 27 au muda kamili. Daraja ikikataa wao ni dk0 wanalisimamisha, hawali rushwa kama kada zinazowafanania, ni nadra kuwakuta wakivunja sheria yaani ni nadra sana sana kukuta mwanajeshi anakula rushwa.
Wakiwa mtaani wengi ni watu wa kujishusha ila ukimchokoza tu ndio utaelewa maana ya mwanajeshi. Mimi sikufanikiwa kupita mafunzo yoyote ya jeshi mpaka nilipoishia kielimu. Natamani sana kujua kuwa ni mafunzo gani hupewa hasa mpaka wanakuwa na nidhamu na weledi wa juu katika kazi.
Hao ni wezi kama wezi wengine,
Ungekuwa umefanikiwa kwenda JKT, ndiyo ungewapenda zaidi. Mimi niliingia JKT nikiwa nimeogopa kiasi, lakini baada ya mwaka kuisha, nilikuwa sitamani kabisa kuondoka Jeshini. Niliondoka kwa kulazimika tu!Nilikuwa natizama taarifa ya habari hapa ITV mwanajeshi mmoja anasema walipewa assignment ya kulima hekari 1300 za mahindi wao wakalima hekari 1500.
Jeshi likipewa mradi let's say uishe ndani ya mwenzi 1 wao watakufanyia ndani ya siku 28, 27 au muda kamili. Daraja ikikataa wao ni dk0 wanalisimamisha, hawali rushwa kama kada zinazowafanania, ni nadra kuwakuta wakivunja sheria yaani ni nadra sana sana kukuta mwanajeshi anakula rushwa.
Wakiwa mtaani wengi ni watu wa kujishusha ila ukimchokoza tu ndio utaelewa maana ya mwanajeshi. Mimi sikufanikiwa kupita mafunzo yoyote ya jeshi mpaka nilipoishia kielimu. Natamani sana kujua kuwa ni mafunzo gani hupewa hasa mpaka wanakuwa na nidhamu na weledi wa juu katika kazi.
Huyu ni polisi hapendi kusikia sifa wanazopewa wajeda.Hamkosekanagi watu kama nyie humu