Umetaja vitu viwili.alama za barabarani na kuendesha gari.nadhani hata trafiki mwenyewe huwa anakwenda driving school akinunua gariHusika na title hapo juu hivi kwa nini shule za udereva wale walimu wasiwe ma trafic (vihicle) maana kuna pamoja na shule kuwa nyingi kila kona lakini bado kuna ajali zinatokea kwa uzembe kabisa na bado unakuta dereva alisomea u driving shule kabisa.
Hii itasaidia angalau uelewa zaidi kwa mwanafunzi maana kuna shule nyingine hata hao walimu sheria/alama hata wao hawazijui. Kingine ingezaidia hata dereva akimaliza kozi yake anapewa tuu leseni bila kusumbuka tena kwenda kwa vehicle kutestiwa ili apewe leseni, hii itaondoa huo usumbufu.
Ni hayo tuu maoni yangu au nyie mnaonaje wadau.
Hapo sijui kwa kweli ila ninavyojua kama alama zikiongezwa ndio hupelekwa kwa maelezo zaidiUmetaja vitu viwili.alama za barabarani na kuendesha gari.nadhani hata trafiki mwenyewe huwa anakwenda driving school akinunua gari
Naona madereva watakuwa na weledi zaidi
kokote, leseni wanataka cheti cha Driving school.Polisi kazi yao kukukagua na kuidhinisha upewe leseni. Nenda kajifunze kokote unakojua wewe.
Nikuuliza kwanini wasiwe walimu wa Ufundi magari wa VETA utajibu nini? Maana magari yanaharibika sana kwa madereva wasio jua utunzaji wa magari na hivyo kuyaharibuHusika na title hapo juu hivi kwa nini shule za udereva wale walimu wasiwe ma trafic (vihicle) maana kuna pamoja na shule kuwa nyingi kila kona lakini bado kuna ajali zinatokea kwa uzembe kabisa na bado unakuta dereva alisomea u driving shule kabisa.
Hii itasaidia angalau uelewa zaidi kwa mwanafunzi maana kuna shule nyingine hata hao walimu sheria/alama hata wao hawazijui. Kingine ingezaidia hata dereva akimaliza kozi yake anapewa tuu leseni bila kusumbuka tena kwenda kwa vehicle kutestiwa ili apewe leseni, hii itaondoa huo usumbufu.
Ni hayo tuu maoni yangu au nyie mnaonaje wadau.
Kwani wewe kokote unaelewaje?kokote, leseni wanataka cheti cha Driving school.
Lumumba driving school iliyopo kariakoo lumumba ina madereva wazuri sana, yaani wacha kabisa
Hilo la ufundi haliwahusu mi nimesemea sheria za barabarani na alama zakeNikuuliza kwanini wasiwe walimu wa Ufundi magari wa VETA utajibu nini? Maana magari yanaharibika sana kwa madereva wasio jua utunzaji wa magari na hivyo kuyaharibu