FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Nov 24, 2020 #21 wa stendi said: Hilo la ufundi haliwahusu mi nimesemea sheria za barabarani na alama zake Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Na mimi nimesemea kudumu kwa gari na utunzaji wake, wewe umesemea usalama barabarani, mwingine atasema tuajiri wauza mafuta wa sheli kwa sababu anazojua yeye, i mean ipi sasa itakua basis ya kuchagua moja over the other?!
wa stendi said: Hilo la ufundi haliwahusu mi nimesemea sheria za barabarani na alama zake Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Na mimi nimesemea kudumu kwa gari na utunzaji wake, wewe umesemea usalama barabarani, mwingine atasema tuajiri wauza mafuta wa sheli kwa sababu anazojua yeye, i mean ipi sasa itakua basis ya kuchagua moja over the other?!