Hivi ni kwanini wamikoani hupenda kupiga/kupost picha wakiwa beach.

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Ukitaka kujua huyu katoka mkoani siku chache tu zilizopita,

Akiwa beach muda mwingi atakua akipiga picha bahari, yaana atataka aonekane akiwa baharini kabisa.

Ukienda kwenye profile yake huko mitandaoni, picha za beach huko zitakua zimetawala.

Wamikoani na bahari.
 
Kwa sababu wanaziona kwenye mitandao tu...

Siku wakienda beach kweli, ni shangwe kao...


Cc: mahondaw
 
Mmmhhh[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Unazungumzia mikoa ipi labda?
 
Ili akipost ajulikane kuwa kafika au yupo mjini!
 
Kama hii....?!!!



Heheheh hapa sijui nilitokea mkoa gani nikaja moja kwa moja beach za Dar na sasa ndo nimepost mtandaoni. Ila mie ni mnyamwezi.

Kasie Kasiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…