Hivi ni kwanini wanaume waliooa ni wavivu katika mapenzi..?

mkuu wangu piijeeey....
hebu tusaidie kuijibu hii bolded & enlarged part...
Aisee..
Nimebaki hoi na eneo hilo pia!
Anasema wanaume wajifunze mahitaji ya wake zao na ya maInfii wao!...
Kwanza dada atuombe radhi, maana hapo anatufunza kuwa infii ni part and parcel katika ndoa!
Sa na wewe Teamo si unaona madhara ya yale masheria yenu ya hiyo nanihii...si unaona eeh?...Mmemlisha sumu FL!...huh!
 
yamekuwa makubwa ndugu yangu....!
aisee vipi huko arachuga?
''mali zangu'' unaniangalizia?
naona mlinzi wangu hunipi ripoti kabisa....na huku MTM anatamba sana sijui nini kilitokea:wink2::wink2:
 
Mi nilikuwa nafikiri wanawake ndiyo huwaga hawajitumi, labda kutokana na majukumu ya nyumbani.
Uchovu na..........................kumbe na wanaume nao ni wavivu......................!!!!!!
 
Mkuu PJ habari yako binafsi bana!!
Hapo nimemsoma mama wa kwanza naona kama kuna kiarifu kimejificha hebu jitahidi kudadavua may be ntamuelewa!
 

Me hapo kwenye RED tu Firstlady, kumbe bado sasa umeexperience wapi jamani? ngoja uingie then utaague.
Ninavyohisi, kwenye ndoa kuna kitu mazoea, na uhakika... so any time mzee anapotaka anapata, hakuna time limit
 
fl kwa sasa upo kundi gani kati ya hayo mawili hapo chini ili uweze kujibiwa swali lako.




pia hao waliooa wajifunze wajue mahitaji ya wake zao na maInfii wao
 
yamekuwa makubwa ndugu yangu....!
aisee vipi huko arachuga?
''mali zangu'' unaniangalizia?
naona mlinzi wangu hunipi ripoti kabisa....na huku MTM anatamba sana sijui nini kilitokea:wink2::wink2:
MTM alipokuja Arachuga yule RAIA fULANI alikuwa ameenda Iringa!....Naomba umsalimie KIMEY!(kikulacho...)
 

Sasa FL mydia akianza uvivu asubuhi si utamdampu?? Just like what we always do when we are on probation mydia. And believe me sio wanaume tu hata sie............. but hebu jaribu kumwamsha sasa..mpanie, mpe mambo mazito, mkimbize mchakamchaka ..mara mbili tu ataamka maana atahisi kuwa unamtoa knockout na hakuridhishi ataogopa kutafutiwa msaidizi.

(By the way uwage unasema kama hujaridhika......kukaa kimya au kudanganya hakusaidii we mwambie ....Bwana mie mwenzio bado.....tena kwa hasira)
 
...kana kwamba kaka zako hatupo jamvini....:wink2::wink2::wink2::wink2:
 

sasa km ni hvyo ni kwanini usivunje ukimya ukazungumza na mwenzi wako.haujui huko ni kumtesa mwanamke unavyomparamia kama kuku!
 
sio wanaume tu hata nyie wadada mkishaolewa mnapunguza ufundi.. nadhani ni mambo ya "uhakika":rain:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…