Kupigana ni nature ya viumbe hai sio mwafrika sio mzungu wote tuna tabia za kupigana. Kiasili mamalia wana tabia moja ambayo wanadamu wote pia tukiwa kama mamalia tunayo nayo ni ubabe (survivor of the fittest)
Ushasema mzungu wa kwa nza mungu afu mzungu so mzungu so mwenzetuLkn Muzungu huwa hapigani au kupiga mtu.
Muulize mwenyekiti wa uvccm hawezii hitubia bila.kuwatisha wapinzaniJe, sisi ni violent society? Watanzania wanapenda sana kutumia nguvu kutatua tatizo, kila kitu utasikia nitakutandika, hata JF utasikia mtu anakwambia ungekuwa karibu yangu ningekupiga ngumi, kidogo utasikia yule jamaa karibia nimzabe makofi, sasa ni kwa nini? Ni nani anakupa haki ya kumzaba makofi mwingine? Kwa nini hamuwezi kutatua matatizo bila ya kupiga?
Ukimpiga mtu unasikiaje?
Kwa kufupisha watanzania tunapenda KUJIMWAMBAFAIJe, sisi ni violent society? Watanzania wanapenda sana kutumia nguvu kutatua tatizo, kila kitu utasikia nitakutandika, hata JF utasikia mtu anakwambia ungekuwa karibu yangu ningekupiga ngumi, kidogo utasikia yule jamaa karibia nimzabe makofi, sasa ni kwa nini? Ni nani anakupa haki ya kumzaba makofi mwingine? Kwa nini hamuwezi kutatua matatizo bila ya kupiga?
Ukimpiga mtu unasikiaje?
Hahahaa uliwaza mbali mkuu. kweli kupiga ni nature yetu watz.Nilitafsiri kupiga kwa maana ya kukosa uaminifu katika biashara na kupelekea kuiba fedha au mali au kutaka kupata zaidi ya anacholipwa.
Watanzania wengi ni wapigaji kwa defn zote😁😁😁