Je, sisi ni violent society? Watanzania wanapenda sana kutumia nguvu kutatua tatizo, kila kitu utasikia nitakutandika, hata JF utasikia mtu anakwambia ungekuwa karibu yangu ningekupiga ngumi, kidogo utasikia yule jamaa karibia nimzabe makofi, sasa ni kwa nini? Ni nani anakupa haki ya kumzaba makofi mwingine? Kwa nini hamuwezi kutatua matatizo bila ya kupiga?
Ukimpiga mtu unasikiaje?
Ukishaamua wananchi wako waishi bila uhuru na amani ya kweli mioyoni mwao matokeo yake ni hayo!Je, sisi ni violent society? Watanzania wanapenda sana kutumia nguvu kutatua tatizo, kila kitu utasikia nitakutandika, hata JF utasikia mtu anakwambia ungekuwa karibu yangu ningekupiga ngumi, kidogo utasikia yule jamaa karibia nimzabe makofi, sasa ni kwa nini? Ni nani anakupa haki ya kumzaba makofi mwingine? Kwa nini hamuwezi kutatua matatizo bila ya kupiga?
Ukimpiga mtu unasikiaje?
Sawa lakini wanyama hawavai nguo!Kupigana ni nature ya viumbe hai sio mwafrika sio mzungu wote tuna tabia za kupigana. Kiasili mamalia wana tabia moja ambayo wanadamu wote pia tukiwa kama mamalia tunayo nayo ni ubabe (survivor of the fittest)
Nguo ni ustaarabu tu ila nature inabaki palepale
Mkuu jibwa ni jeuri ya pesa tu. Kwa mfano mimi nina hela nyingi hadi nimetungiwa jina la utani chemichemi yani nabubujika hela tu. Kwa muktadha huu najawa na jeuri, nyodo, ngebe na madharau. Unaweza nikuta naenda kwenye hadhara kama kariakoo nakuanza kuzaba watu mfululizo wa makofi hovyohovyo na kila kofi nalipa lakiJe, sisi ni violent society? Watanzania wanapenda sana kutumia nguvu kutatua tatizo, kila kitu utasikia nitakutandika, hata JF utasikia mtu anakwambia ungekuwa karibu yangu ningekupiga ngumi, kidogo utasikia yule jamaa karibia nimzabe makofi, sasa ni kwa nini? Ni nani anakupa haki ya kumzaba makofi mwingine? Kwa nini hamuwezi kutatua matatizo bila ya kupiga?
Ukimpiga mtu unasikiaje?