Hivi ni kwanini watu huzungusha mabati site wakati wa ujenzi?

Hivi ni kwanini watu huzungusha mabati site wakati wa ujenzi?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!

Binafsi najua baadhi ya sababu za kuzungushia mabati katika saiti ya ujenzi ila ningependa kufahamu sababu zingine kutoka kwako?
 
Ni kwaajili ya usalama wa vifaa, kusiwepo na wapitaji wakati ujenzi unaendelea kuepusha ajali ya kuangukiwa na kitu au hata kukanyaga misumari na kadhalika
 
Hapo vip!

Binafsi najua baadhi ya sababu za kuzungushia mabati katika saiti ya ujenzi ila ningependa kufahamu sababu zingine kutoka kwako?
Usalama wa materials, na pia usumbufu sana kama hakuna fence. Hasa kwa watu wanaoomba misaada na kutafta kazi wakati wameshaambiwa kazi hakuna
 
Back
Top Bottom