kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
List ya wengi wanaotekwa na kupotezwa ni wale raia wanao support au wanachama wa vyama pinzani na ccm. Hii inamaanisha nini?
Pia soma: Kuelekea 2025 - Rais Samia: Machifu waambieni wanasiasa ukweli vyeo havipatikani kwa kuua watu
Nilichogundua,
- viongozi wa upinzani maarufu wanakamatwa na kushitakiwa kwenye mfumo rasmi wa sheria.
- Viongozi na supporters wa upinzani wasio maarufu, hutekwa na kujeruhiwa ama kupotezwa. Ni nani afanyaye haya?
- Lengo la hawa watekaji ni nini?
Pia soma: Kuelekea 2025 - Rais Samia: Machifu waambieni wanasiasa ukweli vyeo havipatikani kwa kuua watu
- Je, nikuwatisha raia wadishabikie vyama pinzani?
- Je, watekaji hawapendi mfumo wa vyama vingi ambao upo kikatiba?
- Je, watekaji wanaogopa ustawi wa vyama pinzani na ccm?
- Je, watekaji wangependa turudi mfumo wa chama kimoja cha siasa? (Bora hii option kuliko yanayoendelea dhidi ya vyama pinzani na chama tawala?