pole,mkuu fanya hv:nenda hospitali kubwa,ukitoka uko pia waweza jaribu mitishamba,ukitoka uko Mpeleke katika Maombi kama ni mkristo nenda kanisani,kama mwislamu onana na viongozi wako wa diniHabar zenu wanaJF, ni wiki ya pili sasa toka
niambiwe mwanangu hawezi kupona ni kama
nimechanganyikiwa vile, kuna kipindi mwanangu
aliugua ikabidi Mama yake ampeleke hospital
kama ilvo kawaida ya mgonjwa kupelekwa sehem
husika, mtoto alitibiwa kwa kuchomwa sindano na
dawa kadhaa zlitolewa.
Baada ya cku mbili ile sehemu aliyochomwa
sindano ilileta mushkel kwa maana mtoto
hakuweza tena kusimama kwa miguu yote ule
mguu alochomwa sindano ndo ulikua shida. Ilibid
tumrudshe hospitali na jibu tulopewa ni kua
"Mguu umepooza, mrudsheni nyumban hakuna
namna nyingine". Hivi ni kwel hakuna namna
nyingine!!!!!!!!!!!!
Pole sana mkuu! mwanao mlimpeleka hosptali gani kuchomwa hiyo sindano?
Pengine itakuwa nesi/daktari aliyemdunga alikosea ktk uingizaji wa sindano akachoma hadi mfupa!
Au mtoto alikuwa anarusha miguu pindi sindano inamwingia ikapelekea mdungaji kukosa umakini wa udungaji!
Nakushauri uende hospitali kubwa kwa uchunguzi zaidi na hakikisha unarudi kupata maelezo ya kina kule alikopatwa tatizo.
Pole sana maishani mwangu nishawahi shuhudia wawili walipata ulemavu kwa style hii!
Ni kweli mkuu. Chamsingi mleta mada afanye kila liwezekanalo amuwahishe mtoto kwenye huduma ya uhakika.Mkuu ukichoma mfupa huwezi kusababisha paralysis.Huyo mtoto amechomwa mshipa wa fahamu(nerve) na kama alichomwa matakoni basi kuna uwezekano sciatic nerve ndio imejeruhiwa
Mleta mada jaribuni kumpeleka mwanenu hospitali kubwa mnaweza pata solution
Habar zenu wanaJF, ni wiki ya pili sasa toka niambiwe mwanangu hawezi kupona ni kama nimechanganyikiwa vile, kuna kipindi mwanangu aliugua ikabidi Mama yake ampeleke hospital kama ilvo kawaida ya mgonjwa kupelekwa sehem husika, mtoto alitibiwa kwa kuchomwa sindano na dawa kadhaa zlitolewa.
Baada ya siku mbili ile sehemu aliyochomwa sindano ilileta mushkel kwa maana mtoto hakuweza tena kusimama kwa miguu yote ule mguu alochomwa sindano ndo ulikua shida. Ilibid tumrudshe hospitali na jibu tulopewa ni kua "Mguu umepooza, mrudsheni nyumban hakuna namna nyingine".
Hivi ni kwel hakuna namna nyingine!