Hivi ni kwel hawa jamaa wanatoa ufadhili?

Wachaka

Senior Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
107
Reaction score
23
Habar wakubwa!kuna taasisi 1 inaitwa KAPADIA FOUNDATION ipo marekani,mmiliki ni mhindi anaeishi USA,wanadai kuwa wanafadhili wanafunzi maskini kuanzia diploma na kuendelea,so anayeifaham a2juze ili 2pate details za uhakika! shukran
 
Gusa unate..matapeli hao.

mkuu wanapokufadhili ww hutoi hata senti tano,mambo yote wanafanya wao!wanatoa US$600,kisha utachangia 25% utakapo graduate ili kusponsor wengine,heb andika "kapadia foundation"kwenye google ujionee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…