ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Rafiki yangu mkolomije aliniambia hii habari,nami nimeshindwa kuisahau.
Eti kila siku tunapojazana kanisani tunamwabudu Mungu wa Ibrahim na akifurahi anawabariki watu wake huko kwao. Tukienda misikitini tunamwabudu Mungu wa Muhammad akifurahi utajiri unaongezeka huko kwao. Lakini tumemuasi Mungu wa Mkwawa na Milambo amekasirika shida zinaongezeka hapa kwetu,magojwa na umasikini.
Bado natafakari lakini naona kama kuna ukweli hapo.
Nini maoni yako.