Hivi ni kweli au furahisha genge tu.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Rafiki yangu mkolomije aliniambia hii habari,nami nimeshindwa kuisahau.
Eti kila siku tunapojazana kanisani tunamwabudu Mungu wa Ibrahim na akifurahi anawabariki watu wake huko kwao. Tukienda misikitini tunamwabudu Mungu wa Muhammad akifurahi utajiri unaongezeka huko kwao. Lakini tumemuasi Mungu wa Mkwawa na Milambo amekasirika shida zinaongezeka hapa kwetu,magojwa na umasikini.
Bado natafakari lakini naona kama kuna ukweli hapo.
Nini maoni yako.
 
Hivi nani aliyekuambia waarab ni matajiri? Achana na mawazo ya kijinga kama haya, il hoja yako ya kiimani ina mashiko sana, hata mimi nashangaa sie waafrika tumekuwa wajinga kivipi kushabikia vya wenzetu wakati Mungu alitupa maarifa, kwa makusudi eti tunayakataa. Uislam na Ukristo has no place in Afrika at all.
 
Tupewe elekezo la kumwabudu Mungu wetu ili neema zitushukie hapa kwetu.
Swali la kujituliza, Wengine wanataka tuishi kama shetani, sijui ndio wanaomwabudu? Maana mambo yanakuwa ndivyo sivyo chini ya utawala wao.
 
Kwani kuna tatizo basi,kama maisha yetu yanakuwa vizuri maana hii dhana ya ushetani huwa haikai vizuri kichwani mwangu! Kama shetani yupo anajua kabisa kuwa yeye siyo Mungu.
Tatizo langu ni hizi shida tulizonazo,nani anatutoa hapa? Kanisani tunaenda,msikitini hatukosi lakini hukuna zuri linalotokea pande hizi,ni wapi tunakosea?
 
Reactions: Auz
Labda siyo matajiri sana,ila wanamudu kuishi kwa viwango vya kuridhisha,wanauza mafuta,wanasoma vizuri,wanamiliki African houseworker mbona sisi kama tunarudi nyuma?
 
Labda siyo matajiri sana,ila wanamudu kuishi kwa viwango vya kuridhisha,wanauza mafuta,wanasoma vizuri,wanamiliki African houseworker mbona sisi kama tunarudi nyuma?

Utajiri ule ni kwa ajili ya familia ya kifalme na koo zao tu. Hela za mafuta zikipatikana then mfalme anagawa posho kwa wananchi wake, na si mamilioni ila ni kijiposho tu kutokana na ukubwa wa familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…