Huwezi kufa.. naona habari hua huangalii wala kusomasoma kidogo coz hata ile ya South Africa hukuisikia mwanaume kafanyiwa operation kaunganishiwa mchongo wa mwanaume mwenzake? Na kwa mwanamke kuna tundu pale kwa hiyo huwezi kuongelea kukata uwazi, labda kuongelea kukata ya falopia ambayo inapitisha mayai kuja kwenye mfuko wa uzazi, na hilo ni jambo la kawaida coz wanawake wengi tu hua wanakata tu kama njia mojawapo ya kufunga kizazi.
Kwa mwanaume ikikatika utaishi tu, tatizo ni kama kutakua na matatizo kuanzia kwenye figo hadi njia ya mkojo kwa sababu mkojo ni muhimu utoke, ila kama njia yote ipo bila shida kutakua hamna tatizo lolote, ni function tu inaweza ikabadilika, kama raha itastop kule chini means kuna kiungo kingine kimechukua hiyo nafasi mfano ni kama watu walioparalyze chini kule wanaweza pata raha kupitia kuchezewa masikio au shingo, hali hiyohiyo inaweza kutokea.