Hivi ni kweli castle lite inapunguza hamu ya 'sex'?

Mfikiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
586
Reaction score
125
Jamani nimekutana na hii kitu mitaani wakati nagonga castle lite yangu ya baridddddddiiiiii kitaaa baada ya kutoka kupambana na majukumu ya kujenga taifa. kijana mmoja nilikuwa nimekaa nae meza moja tukibadilishana mawazo ndipo akanimegea hii kitu, nami nikaanza tafakari, je kuna ukweli katika hili, kwa wale wenye utaalamu na hili naomba wanijuze niipotezee kwani nimeanza kugonga hii makitu ni wiki ya pili( baada ya kutokea kwenye kilele cha ubora kilimanjaoro) ila bado performance home naona bado ipo sawa. naogopa isije shuka ikawa noma. huyu jamaa alienijuza nae kapata juu juu hana evidence.
 
ndo maana baba nanii siku hizi hadi nimbake!!
 
Hivi inawezekana eeeenh?....:confused2: Eti Mwali, kuna ukweli wowote hapa?
 
teh teh ..ukimbaka anaweza?
 
Hata mimi nilishawahi kusikia hii habari tena huyo mtu akaongeza kwamba inaongeza na makalio.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bia zote ukinywa bila tahadhali zinapunguza, ukiwa chakali unategemea nini?
 

......ni wewe na stimu zako, kuna wanaokunywa klorokwini wakapona, na wengine zinawawasha.
 
Hao wanaoeneza ni wapinzani kibiashara, haina hayo madhara.
 
Hata mimi nilishawahi kusikia hii habari tena huyo mtu akaongeza kwamba inaongeza na makalio.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
duh aisee bora nguvu zipungue ila sio kuongezeka makalio aisee..........
 
Hahahahahah nadhani hizo ni mbinu za kibiashara!
 
watumiaji kazi mnayo!angalien tutawasaidia majukumu!
 
Acha kutumia kwanza wakati unatafuta jibu kutoka kwa wataalam(hicho sio chakula)ukiacha kwa mda si viabaya.
 
asilimia kubwa ya pombe katika sex ni metaphor ya kupanda mlima, unapanda hadi juu kisha unashuka namaanisha nyingi zinakupandisha kisha zinakushusha hapo ndio kwishney, kwa Cstle lIttele jiulize ni kwa nini zinpendwa sana na wanawake zinawalegeza sana kwa wanaume ni kinyume...............sina utafiti wa kisayansi
 
natumia mwaka na nusu sasa ,ila napiga game mpaka wife anaomba mapumziko na wakati mwingine anakimbia kitandani
 
duh hyo ki2 sio kweli wadau me naipinga kabisaaaaaaaaaaaaaaa mm nakula chui jamaa yangu anakula lite lakin kisipite kitu mbele hakiachi na kaanza mua mrefu tu sana hadi ss anagonga lite
 
Kwasababu hakuna mwenye uhakika na hilo, wee unaonaje uendelee kunywa ili badae ututhibitishie kama ni kwel au laa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…