Jinsi wanavyosema kuwa wamejipanga vyema kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa lakini takwimu zinawasuta. Kutokana na taarifa ya msimamizi wa uchaguzi jijini Dodoma CHADEMA wana mawakala 55 tu katika vituo 666 vilivyopo Jijijni Dodoma. Ndugu zangu CHADEMA mkajipange upya vinginevyo mtashindwa vibaya kwenye uchaguzi huu.