Hivi ni kweli Colgate inafuta mikwaruzo katika body ya gari ?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau kwemaa!

Katika pita pita zangu youtube nimekutana na videoz zinaonyesha uwezo wa colgate kufuta mikwaruzo katika body ya gari

Nikaona nilete hapa JF ilikujua kama je ni kweli ichi kitu kipo applicable?

 
kuna mwingine aliniambia unasugua na ndimu,kila nikijaribu wapi,mikwaruzo iko palepale.
 
There is only one way to find out. Sugua colgate kwenye mchubuko wowote kwenye gari yako then utapata jibu kwa uhakika 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…