Hivi ni kweli cristiano ronaldo ni shogaaa!!?

Unajua siamini amin hivi,nataka ukweli wa action whasap 0783327380
 
Skendo tu,haiwez kuwa kweli

mkuu lisemalo lipo,hata yule muigizaji wa prison break "michael scorfied'' nae alikuwa anapinga badaye yeye mwenyewe akakiri kuwa ni punga kwani alisha wahi kumsikia ronaldo anakanusha?
 
Tukisema na wewe shoga usipokanusha ndo itakuwa kweli sidhani
 
Sina maana nyingne tofauti na kurushiwa video ya cristian akifanyiwa maan siamini.

Kha! Hivi unadhani ni rahisi kiasi hicho kupata video akibanduliwa? Hao wanaopost ni wale pornstar, huyu yeye anafanya kwa starehe tu mkuu
 
Hizo tarifa za ushoga wa Ronaldo nilisoma toka kwenye jarida la Daily Mail sports la kule Uingereza
 
Kha! Hivi unadhani ni rahisi kiasi hicho kupata video akibanduliwa? Hao wanaopost ni wale pornstar, huyu yeye anafanya kwa starehe tu mkuu

😃😃😃😃😃noma sana kaka kumbe!!!?nilizani ni rhisi kwa hiyo hakuna hata njia ya kupata video yake mtandaini kaka?
 
😃😃😃😃😃noma sana kaka kumbe!!!?nilizani ni rhisi kwa hiyo hakuna hata njia ya kupata video yake mtandaini kaka?

Sijui hata kama huwa wanajirecord. Ila sio vizuri kuangalia video za aina hii zitakuharibu ubongo na mwishowe uige tabia zao
 
Sijui hata kama huwa wanajirecord. Ila sio vizuri kuangalia video za aina hii zitakuharibu ubongo na mwishowe uige tabia zao

Ok poa kaka ila nikitaka kuhakiki kwa macho maana nasikiaga hyu jamaa anamdem wakali sana,sasa inanishangaza
 
Ok poa kaka ila nikitaka kuhakiki kwa macho maana nasikiaga hyu jamaa anamdem wakali sana,sasa inanishangaza

We hujawahi sikia mtaani kwenu kuna mzee mwenye familia na watoto wakubwa kabisa wanadai analiwa ili naye apate ashki akamsulubu mkewe?
 
hizo picha si za kufoji-atawaambukiza watz wengi maana mna katabia ka kuiga mastaa haya mashabiki wake kajaribuni
 
Sina maana nyingne tofauti na kurushiwa video ya cristian akifanyiwa maan siamini.[/QUOTE
mtafute mwenyewe Ronaldo
unataka tukurushie picha mtu mwingine TUFUNGWE na TCRA?
umeshaambiwa ni SHOGA mwache mwenyewe akanushe
 
Kila mtu na starehe yake,starehe ya mbwa kukalia mkia wake sio ajabu hii ya CR
 
Sasa we unaona ni vitu vya Kawaida ivyo!!

Mkuu usihangaike na hilo huenda na lenyewe pun.ga ndo maana kinatetea! Majamaa huwa yanamsonsomola huyo Cristiano wao! Hii ni fedheha, ndo maana akifunga tu huwa anakimbia anajilaza kifo cha mende!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…