Hivi ni kweli Dr. Kimei wa CRDB ameamua kupumzika?

Hivi ni kweli Dr. Kimei wa CRDB ameamua kupumzika?

Oppomall

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2017
Posts
3,683
Reaction score
3,966
Nimekaa nawaza ujinga ujinga tu,
Hivi ni kweli dr. Charlse kimei aliekua Mkurugenzi wa Crdb ameamua kupumzika nafasi hiyo kabla ya muda wake kuisha au ndio mpango wa kuelekea kule alikoambiwa akienda atalipwa maradufu na alipo wakati wa uzinduzi wa lile jengo kata ya ziwa?
Wajuvi nitoeni ujinga kidogo.
Lukungano1
Never say never!
 
Mkuu mazingira si rafiki tena kama zamani ni bora apumzike kwanza.
 
Back
Top Bottom